Jumanne, 15 Februari 2022

Tunu Peter Blog Kurejea kwa Lugha ya Kiswahili

 Habari mpendwa msomaji...

Napenda kukujulisha kuwa kuanzia Sasa Tunu Peter Blog itakuwa na habari tofauti kwa Lugha ya Kiswahili... Pia nitachanganya na Lugha ya Kiingereza pale itakapobidi... 


Lengo la blog hii ni taarifa mbalimbali, burudani, ushauri wa kitabibu, mapishi na mengineyo mengi. 

Karibu tujumuike pamoja.